.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Januari 2015

FAINALI ZA MATAIFA AFRIKA 2015, CONGO NA CAPE VERDE HAKUNA MBABE

Timu za mataifa ya Cape Verde na Congo zimejikuta zikitoka uwanjani bila kufungana na kulazimika kugawana pointi moja moja baada ya kushindwa kufungana katika mchezo wa kuwania kombe la Mataifa Afrika, katika michuano inayoendelea nchini Equatorial Guinea. 

Kwa matokeo hayo Congo sasa ipo nafasi ya tatu katika kundi B ikiwa na pointi 2 sawa na Cape Verde ambao wapo nafasi ya pili. 

Tunisia ndio wanaoongoza kundi hilo wakiwa na pointi 4 na Zambia wapo mkiani wakiwa na pointi 1.

Mlinda mlango wa Congo DRC Robert Kidiaba akidaka mpira wakati wa mchezo huo. Mlinda mlango huyo mwezi ujao atafikisha miaka 39

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni