Katika mchezo huo, Ivory Coast waliokuwa chini ya nahodha Yaya Toure walilazimika kucheza wakiwa 10 uwanjani baada ya Gervinho kupewa kadi nyekundu kutokana na kitendo chake cha kumpiga kofi mchezo wa Guinea katika dakika ya 58 ya kipindi cha pili cha mchezo huo.
Guinea ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Naby Yattara katika dakika ya 36, bao ambalo lilidumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika.
Guinea ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Naby Yattara katika dakika ya 36, bao ambalo lilidumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni