.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Januari 2015

FAINALI ZA MATAIFA AFRIKA, EQUATORIAL GUINEA WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA BURKINA FASO

Wenyeji wa fainali za kombe la mataifa Afrika 2015 ( Afcon ), Equatorial Guinea wameshindwa kutamba nyumbani kwa mara nyingine baada ya kulazimishwa sare ya kutofungana na Burkina Faso katika mchezo wa kundi i A kuwania kombe hilo uliochezwa jana.
Equatorial Guinea pamoja na kuonyesha kandanda safi, walishindwa kutikisa nyavu za wapinzani na kujikuta wakitoka uwanjani huku wakigawana pointi moja moja. 

Kwa matokeo hayo, Equatoria Guinea wapo nafasi ya tatu katika msimamo wa kundi A, Burkina Faso wakiwa mkiani wakati Congo wakiongoza kundi wakiwa na pointi 4 na Gabon ni wapili katika msimamo wakiwa na pointi 3.
                         Shabiki wa timu ya taifa ya Burkina Faso akiufuatilia mchezo huo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni