.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Januari 2015

FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA, CONGO YATINGA HATUA YA ROBO FAINALI

Timu ya soka ya taifa ya Congo imefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya michuano ya kuwania kombe la Mataifa Afrika ( AFCON 2015 ) baada ya kuifunga Burkina Faso kwa jumla ya mabao 2-1 katika fainali zinazoendelea nchini Equatorial Guinea. 

Mabao ya Congo yaliwekwa kimiani na mchezajiBifouma Koulossa katika dakika ya 51 na bao la pili likifungwa na Ondama kunako dakika ya 87. Bao la Burkina Faso lilifungwa dakika ya 86 na Bance.
Hii ni mara ya kwanza kwa Congo kutinga hatua ya robo fainali katika Fainali za Kombe la Mataifa Afrika toka mwaka 1992. Congo imemaliza mechi zake za makundi ikiwa inaongoza kundi A kwa kufikisha jumla ya pointi 7.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni