.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 29 Januari 2015

INDIA YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 66 YA UHURU

Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Setandar Kumar, akimkaribisha Waziri Haroun kuhutubia katika maadhimisho hayo ya Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66, iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Mazizini Unguja.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Setandar Kumar, akihutubia na kuelezea Uhuru wa India wakati wa kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort mazizini Unguja.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Setandar Kumar akielezea uhusiano wa India na Zanzibar unavyozidi kuimarika katika nyanja ya Elimu ya inayotowa fursa kwa Vijana wa Zanzibar kupata elimu ya Juu katika vyuo mbalimbali India.
Mgeni Rasmin katika hafla ya kusherehekea Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 Mhe Haroun Ali Suleiman akihutubia katika fala hiyo ya kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni