Bei zao ni nzuri kuliko sehemu yeyote ya kuuza vinywaji vya jumla na rejareja jijini.
Jumatano, 14 Januari 2015
KWA MAHITAJI YA VINYWAJI VYA AINA ZOTE HAPA NDIO PENYEWE JIJINI DAR ES SALAAM
Kwa mahitaji ya vinywaji vya kila aina kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama harusi, send off, kitchen party, mahafali au kusambaziwa katika club na bar mbalimbali jijini Dar es Salaam, duka kubwa nala kisasa la kuuza vinywaji la Mae Investments Co. Ltd lililopo Sinza jirani na Meeda Pub ndio jibu lako.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni