.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 17 Januari 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAJUMBE WA BRN IKULU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe unaofanya tathmini ya mpango wa matokeo makubwa sasa Nchini (BRN) unaoongozwa na Rais mstaafu wa Botswana Mhe. Festus mogae, wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe unaofanya tathmini ya mpango wa matokeo makubwa sasa Nchini (BRN) unaoongozwa na Rais mstaafu wa Botswana Mhe. Festus mogae, wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiagana na baadhi ya Mawaziri na wajumbe wanaofanya tathmini ya mpango wa matokeo makubwa sasa Nchini (BRN) wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es salaam leo Januari 16,2015.
(Picha na OMR)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni