Picha za kusikitisha zinaonyesha kundi
la watu wakirekodi picha za tukio la polisi wa kutengua mabomu nchini
Misri, akifa wakati akijaribu kutengua bomu lililoachwa nje ya kituo
cha mafuta.
Video za tukio hilo zilizochukuliwa kwa
njia ya simu, zinaonyesha watu wapatao watatu wakimpiga picha polisi
huyo, aliyekuwa amevaa nguo za kujikinga, akirushwa juu na bomu hilo
baada ya kulipuka mikononi mwake na kufa.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni