.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 24 Januari 2015

POLISI ZANZIBAR WAFANIKIWA KUZIMA TUKIO LA UJAMBAZI ENEO LA DARAJANI

Mmoja wa watuhumiwa wa ujambazi katika maeneo ya darajani akiwa chini ya ulinzi wa Polisi akiwa katika gari waliokuwa kulitumia kwa ujambazi huo aina ya Rav4.
Wananchi wakiwa na asira wakiwa katika mtaa wa darajani wa wakishuhudia jeshi la Polisi Zanzibar kuzima jaribio la ujambazi katika maeneo ya darajani makonte, na kuwadhibiti majambazi watatu wakiwa katika harakati za kuvumia katika maeneo hayo kwa kutaka kupora, majambazi wawili wamekamatwa na mmoja kukimbia.
              Wananchi wakishuhudia tukio la kufanyika kwa ujambazi katika maduka ya darajani.
Mtuhumiwa wa ujambazi akiwa ndani ya gari ya Polisi baada ya kupata kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira wakati wakiwa katika harakati za kutaka kukimbia jirani na skuli ya Darajani baada ya kutelekeza gari waliokuwa wakiitumia aina ya Noah.
Gari aina ya Noah linalosadikiwa lilitumika katika tukio la ujambazi katika maeneo ya darajani likiwa limetelekezwa baada ya watuhumiwa hao wakiwa katika harakati za kuwakimbia Askari katika eneo la mbele ya skuli ya Darajani.
                                                                                    Picha jwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni