.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Januari 2015

SERIKALI YA TANZANIA NA CHINA ZASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI KUTOKA MTO RUVUMA HADI MTWARA

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. nyuma ya Katibu Mkuu (aliyesimama) ni Waziri wa Maji Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb).
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo baada ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015.
Mheshimiwa Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb) akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo baada ya saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mbogo Futakamba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni