.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 16 Januari 2015

THIERRY HENRY, DIDIER DROGBA NA CESC FABREGAS WASHUHUDIA NEW YORK KNICKS WAKIFUNGWA


Mshambuliaji nyota aliyestaafu soka Thierry Henry, Didier Drogba pamoja na Cesc Fabregas walikuwa ni miongoni wa nyota kadhaa walioshudia Milwaukee Bucks ikiifunga New York Knicks jana katika mchezo wa mpira wa kikapu uliochezwa kwenye dimba la 02 Arena Jijini London.
                                        Fabregas na Therry Henry wakifuatilia mchezo huo 
                           Milwaukee Bucks iliifunga New York Knicks vikapu 95 kwa 79

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni