.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 16 Januari 2015

WATUHUMIWA WA UGAIDI WALIOUWAWA UBELGIJI WALIPANGA KUWAUWA POLISI

Mwendesha mashtaka amesema watuhumiwa wa kundi la Jihad lililosambaratishwa katika operesheni ya kukabilina na ugaidi nchini Ubelgiji, walikuwa wanapanga kuwauwa polisi mitaani na kwenye vituo vya polisi.

Amesema mipango yao ya kufanya hivyo ilikuwa imeshakamilika, na kuongeza kuwa watuhumiwa wawili waliouwawa huko Verviers wakati polisi walipowavamia hawajajulikana majina yao.

Watuhumiwa wengine 13 wamekamatwa Ubelgiji na wengine wawili wamekamatwa nchini Ufaransa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni