Waziri mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa mkono wa pole kwa waombolezaji katika Msiba wa aliekuwa muasisi na kiongozi wa kwanza wa Chama Cha TAA na baadaye TANU wilayani Monduli,Marehemu Mzee Lazaro Ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis kijijini kwake Ngarash Monduli.Marehemu Mzee Lazaro Ole Ngoilenya Laizer ambaye ndiye alikuwa chachu kwa Mh. Lowassa na wanasiasa wengine wa Monduli kuingia katika siasa,amefariki akiwa na umri wa miaka 120,alioa wake 9 na kufanikiwa kupata watoto 53.Alhamisi, 22 Januari 2015
WAZIRI MKUU MSTAAFU, MH LOWASSA ASHIRIKI MSIBA WA MUASISI WA TANU WILAYANI MONDULI
Waziri mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa mkono wa pole kwa waombolezaji katika Msiba wa aliekuwa muasisi na kiongozi wa kwanza wa Chama Cha TAA na baadaye TANU wilayani Monduli,Marehemu Mzee Lazaro Ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis kijijini kwake Ngarash Monduli.Marehemu Mzee Lazaro Ole Ngoilenya Laizer ambaye ndiye alikuwa chachu kwa Mh. Lowassa na wanasiasa wengine wa Monduli kuingia katika siasa,amefariki akiwa na umri wa miaka 120,alioa wake 9 na kufanikiwa kupata watoto 53.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni