.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Januari 2015

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MAZINGIRA, MH MAHENGE AKIWA ZIARANI MKOANI TANGA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga wakielekea kupanda Boti kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko hatarini kuzama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani Tanga.
Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge,kuhusu umuhimu wa kisiwa hicho.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Magalula Said Magalula (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mzalishaji wa kiwanda cha Tanga Sementi Bw. Ben Lema, jinsi wanavyopima sementi kuangalia ubora wake kabla ya kusambaza kwa watumiaji na jinsi wanavyojitahidi kulinda Mazingira kiwandani hapo.
Sehemu ya Bandari ya Tanga ikionesha kisiwa cha Toten kilichopo Mkoni hapo ambacho kipo hatarini kuzama.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni