.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Februari 2015

BALOZI WA FINLAND NCHINI AZINDUA MRADI WA ZALIS WA UHIFADHI KUMBUKUMBU YA ARDHI ZANZIBAR

Balozi wa Finland Tanzania Mrs.Sinikka Antila, akizindua Mradi wa Uhifadhi Kumbukumbu za Ardhi Zanzibar (Land Data Processing Center) Zanzibar land Information System( ZALIS) Uzinduzi huo umefanyika katika Jengo la Idara ya Ardhi Forodhani Zanzibar, kulia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Ujenzi ,Maji na Maakazi Ndg Ali Khalil Mirza.
Balozi wa Finland Tanzania Mrs.Sinikka Antila, akikatta utepe kuashiria kuzindua Mradi wa Uhifadhi Kumbukumbu za Ardhi Zanzibar (Land Data Processing Center) Zanzibar land Information System ( ZALIS) Uzinduzi huo umefanyika katika Jengo la Idara ya Ardhi Forodhani Zanzibar, kulia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Ujenzi ,Maji na Maakazi Ndg Ali Khalil Mirza.
Balozi wa Finland Tanzania Mrs.Sinikka AntilAini, akipata maelezo ya mtambo wa kuhifadhia kumbukumbu za Ardhi Zanzibar baada ya kuzindua mradi huo unaofadhiliwa na Finland kupitia Smole 2, akiangali mtambo huo na kupata maelezo yake kutoka kwa Ofisa wa Ardhi.
Meneja Mradi wa Zanzibar land Iformation Syetem (ZALIS) Ndg. Mohammed Zahrani, akitowa maelezo ya mtambo huo wa kuhifadhia kumbukumbu za ardhi Zanzibar,kwa Balozi wa Finland Mrs.Sinikka Antil,baada ya uzinduzi wake chumba cha mtambo huo. na kupata maelezo kutoka kwa wahusika.

Meneja Mradi wa Zanzibar land Iformation Syetem (ZALIS) Ndg. Mohammed Zahrani, akitowa maelezo ya mtambo huo wa kuhifadhia kumbukumbu za ardhi Zanzibar,kwa Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mrs.Sinikka Antil,hayuko pichani.baada ya uzinduzi wake chumba cha mtambo huo. na kupata maelezo kutoka kwa wahusika.

Balozi wa Finlanda Nchini Tanzania Mrs. Sinikka Antil, akitowa akihutubia kabla ya uzinduzi wa mradi huo wa kuhifadhi kumbukumbu za ardhi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika jengo la idara ya ardhi forodhani zanzibar.
  Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya uzinduzi wa mradi huo
Baadhi ya Kumbukumbu tayari zimeshahifadhiwa karika Mtambo huo wa kuhifadhia Kumbukumbu za Ardhi Zanzibar akioneshwa Balozi wa Finland jinsi ya kuhifadhi kumbukumbu hizo wakati wa uzinduzi wake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni