Kikosi cha timu ya soka cha El Merreikh kutoka Sudan kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Azam
Kikosi cha timu ya Azam katika picha ya pamoja kabla ya kupamabana na El Merreikh
Mshambuliaji wa El Merreikh Babeker Bakri (kulia) akimtoka beki wa Azam Aggrey Morris katika mchezo uliomalizika kwa Azam kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Mshambuliaji mahiri wa Azam, John Bocco akishangilia bao lake alilofunga muda mfupi tu baada ya kuingia uwanjani dhidi ya El Merreikh toka Sudan.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni