Ligi kuu nchini Uingereza itaendelea kutimua vumbi leo katika viwanja tofauti, wakati washika bunduki wa jiji la London, Arsenal wakiwa nyumbani katika uwanja wao wa Emirates kuwaalika West Ham, wao mabingwa watetezi wa kombe hilo, Manchester City watakuwa ugenini kucheza na Burnley.
Mechi nyingine hii leo ni kama ifuatavyo:-
Crystal Palacevs QPR
Leicester vs Hull
Sunderland vs Aston Villa
West Brom vs Stoke
Crystal Palacevs QPR
Leicester vs Hull
Sunderland vs Aston Villa
West Brom vs Stoke
Mpaka Chelsea ndio vinara wa ligi hiyo kwakuwa na pointi 63 wakifuatiwa na Manchester City wenye pointi 58. Arsenal wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 54, wakati Manchester United wapo nafasi ya nne wakiwa na pointi 53.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni