Mashabiki wakiwa katika majukwaa wakifuatilia mchezo wa mwazo wa ligi kuu ya Zanzibar baada ya kusimama kwa muda mrefu kutokana na kutofahamu ya Viongozi kusababisha ligi hiyo kusimama kwa muda mrefu na leo kuaza tena kuendelea kwa mchezo kati ya JKU na Shaba.Timu ya JKU imeshinda 2-0
Mabeki wa timu ya Shaba wakijiribu kumzuiya mshambuliaji wa timu ya JKU
Mshambuliaji wa timu ya JKU akimpita beki wa timu ya Shaba katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda 2-0
Mchezaji wa timu ya JKU Ismail Khamis,akiruka kihuzi cha beki wa timu ya Shaba, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda 2-0. Kwa hisani ya Zanzi News
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni