Lori la Mizigo mali ya
Kampuni ya Coast Millers Limited watengenezaji wa Unga wa Nyati, likiwa limeigonga Treni katika barabara ya Kawawa eneo la Karume leo asubuhi na kusababisha foleni kubwa ya magari yaliyokuwa yanaitumia barabara hiyo. Pichani kulia ni gari dogo lililokuwa nusura litumbukie katika mtaro wa kupitisha maji.Ijumaa, 27 Machi 2015
LORI LA MIZIGO LAGONGA TRENI LEO ASUBUHI JIJINI DAR ES SALAAM
Lori la Mizigo mali ya
Kampuni ya Coast Millers Limited watengenezaji wa Unga wa Nyati, likiwa limeigonga Treni katika barabara ya Kawawa eneo la Karume leo asubuhi na kusababisha foleni kubwa ya magari yaliyokuwa yanaitumia barabara hiyo. Pichani kulia ni gari dogo lililokuwa nusura litumbukie katika mtaro wa kupitisha maji.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni