| Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Promota
wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa
mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya
kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Japhert Kaseba Kushoto akitunishiana misuli na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni