Baadhi ya Misaada iliyotolewa na kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network
Mwanzilishi na Mkuu wa kituo cha kulelea yatima cha Maunga kilichopo karibu na Kituo cha Polisi cha Hananasif Kinondoni Bi. Zainab Bakari Maunga akitoa shukurani zake kwa kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network kwa kuleta misaada mbalimbali katika kituo hicho.
Katibu Mkuu wa Kituo cha kulela yatima cha Maunga akitoa neno la Shukurani baada ya kupokea misaada hiyo na kuwasihi watu wengine waguswe ili waweze kusaidia kama hawa walivyofanya
Mmoja wa watoto akitoa Shukurani zake kwa niaba ya watoto wenzake baada ya kupokea Msaada huo.
Baadhi ya watoto wakiwa pamoja na wanakundi wa Kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network
Picha ya pamoja baada ya kukabidhi msaada huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni