Ijumaa, 17 Aprili 2015
MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI KUFANYIKA MWEZI DESEMBA MWAKA HUU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Binilith Mahenge (kulia), akizungumza na Balozi wa India nchini, Bw. Debnath Shaw (wa pili kulia), wakati amemtembelea Waziri huyo ofisni kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mazungumzo kuhusu Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Mwezi Desemba Mwaka huu. (Picha na OMR)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni