.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 6 Mei 2015
KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO
Kundi la Vijana ambao ni marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini.
Mratibu wa Marafiki wa Lowasa kanda ya Kaskazini Noel Nnko akitoka kufanya usajili kaba ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Mratibu wa marafiki wa Lowasa Noel Nnko akiagwa na mdau wa utalii kanda ya kaskazini Aggrey Makia kabla kundi la vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya vijana.
Mratibu wa marafiki wa Lowasa kanda ya
kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.
Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowasa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni