Mwanamke mmoja amemtia majaribuni
Prince Harry, baada ya kumtaka amuoe hadharani na kujikuta akiambulia
busu la mdomoni kutoka kwa mwana huyo wa familia ya kifalme ya
Uingereza.
Mwanamke huyo Victoria McRae, 21,
alikuwa ametinga gauni fupi akiwa na taji kichwani alimuomba Prince
Harry amuoe jana nje ya jengo la Opera huko Sydney Opera.
Hata hivyo akiongea kwa upole Prince
Harry alimuambi atamtafuta baadae waongee nae ndipo mwanamke huyo
alipomuomba ambusu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni