Benki za Ugiriki zinaanzakufunguliwa
baada ya wiki tatu za kufungwa kutokana na taifa hilo kukwama kulipa
madeni inayodaiwa kwa muda.
Serikali ya Ugiriki ilifikia
makubaliano na mataifa yanayoidai wiki iliyopita, ili kufanya
mabadiliko ya mfumo wa fedha na kuepuka kuondolewa katika ukanda wa
kiuchumi wa Ulaya.
Hata hivyo vikwazo kadhaa vinabakia
kuwekwa, ambapo pia Ugiriki inatarajia kukumbwa na kupanda kwa bei za
bidhaa kutokana na Kodi ya Ongezeko la Thamani.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni