Jumatatu, 20 Julai 2015
NYALANDU AKABIDHIWA MAGARI 50 NA PIKIPIKI MAALUM 30 KUPAMBANA NA UJANGILI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakikata utepe wakati wa makabidhiano ya msaada wa magari 50 na pikipiki maalumu 30 kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya ujangili. Pembeni ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru. Makabidhiano hayo yamefanyika jana katika Makao Makuu ya wizara hiyo mjini Dar es Salaam.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu
Youqing, wakijaribu kuendesha pikipiki maalumu zitakazotumika kwenye
vita dhidi ya ujangili. Serikali ya China imekabidhi msaada wa magari 50
na pikipiki hizo 30 pamoja na vifaa vingine kutokana na kuridhishwa na
jitihada za serikali.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing, wakikata utepe wakati wa makabidhiano ya msaada wa magari 50 na pikipiki maalumu 30 kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya ujangili. Pembeni ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru. Makabidhiano hayo yamefanyika jana katika Makao Makuu ya wizara hiyo mjini Dar es Salaam.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa China nchini, Lu Youqing na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru, wakiwa kwenye picha ya pamoja na askari wa wanyamapori wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo mjini Dar es Salaam, jana.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni