Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija, akionesha Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo.

Mdhamini wa Shirika la Biashara la Taifa la ZSTC Pemba, akiteta jambo na Kamanda wa KMKM-Pemba. Picha na Nasra Khatib -PEMBA.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni