Ujumbe wa PBZ ukiongozwa na mwenyekiti wa Bodi ya PBZ, Abdulrahman Mwinyi Jumbe (kulia) ukifuatilia kwa makini mada zinazotolewa kwenye mkutano wa 6 wa Asia Islamic Banking, uliofanyika katika hoteli ya Inter Continental Kuala Lumpur, Malaysia
Washiriki wa mkutano wa 6 wa Asia Islamic Banking, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mkutano wa siku mbili tarehe 12-13 Agosti 2015 uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental, Kuala Lumpur, Malaysia. Kwa hisani ya ZanziNews
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni