Jumapili, 13 Septemba 2015
MAMA ASHA BALOZI AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO VIJANA WA TUEPO
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi akisalimiana na baadhi ya vingozi wa Jumuiya ya watanzania wasio na ajira TUEPO alipofika kufunga mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo vijana juu ya mbinu za biashara katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar
Mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania wasio na ajira (TUEPO) Ussi Said Suleiman akisoma risala ya Jumuiya yao.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi akisisitiza kitu alipokuwa akifunga mafunzo Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar, (Kushoto) Mwenyekiti wa (TUEPO) Ussi Said Suleiman.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi cheti mshiriki wa mafunzo hayo Bahati Chakumoto yaliyofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmi Mama Asha Balozi (hayupo pichani) wakati akifunga mafunzo hayo.
Mgeni rasmin Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi (katikati) mstari wa mbele katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajenga uwezo vijana juu ya mbinu za biashara. Picha na Makame Mshenga –Maelezo Zanzibar.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni