.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Septemba 2015

MGOMBEA WA UKAWA MAULID MTULIA AZINDUA KAMPENI YA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Mgombea ubunge wa UKAWA kupitia chama cha CUF Maulid Salum Mtulia akihutubia mamia ya watu waliohudhria uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Kinondoni Jumapili  jioni.
Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA vimezindua kampeni za ubunge kwa jimbo la Kinondoni ambapo mamia ya watu walihunduria katika viwanja vya Mapilau. Ukawa wameamua kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo toka vyama vya Chadema, CUF, NCCR Mageu na NLD ambapo kwa jimbo la Kinondoni Ukawa imemsimamisha Maulid Salum Mtulia.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa Abdallah Safari akihutubia mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za UKAWA kwa ubunge wa jimbo la Kinondoni leo hii jioni.
Bw Mtulia akimwaga sera huko Mwananyamala katika viwanja vya Mapilau.
Meza kuu!
Baadhi ya viongozi wa vuama vinavyounda UKAWA wakiomba duaa kabla ya mkutano kuanza rasmi.
Wakati wa duaa!


Picha zote na
Hassan Kachloul

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni