Pichani juu ni mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi baada ya kusimamishwa barabarani katika Jimbo la Sumve alipokuwa akipita kuelekea Wilaya ya Magu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Kisesa Jimbo la Magu.
 |
Baadhi
ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika
mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais,
Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) leo mkoani Mwanza. |
 |
Baadhi
ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika
mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais,
Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) leo mkoani Mwanza. |
 |
Mgombea
mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (mwenye
ushungi) akisalimiana na baadhi ya viongozi na wanaCCM mara baada ya
kuwasili Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba kuhutubia mkutano wa hadhara wa
kampeni za CCM uliofanyika leo mkoani Mwanza. |
 |
Mgombea
mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (wa kwanza
kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kata ya Ngudu
Jimbo la Kwimba kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM
uliofanyika leo mkoani Mwanza. Kulia ni mgombea ubunge wa Jimbo la
Kwimba, Mansoor Shanif Hirani. |
 |
Mkutano wa hadhara ukiendelea Jimbo la Kwimba |
 |
Baadhi
ya wanaCCM na makada wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa na mabango yenye
jumbe anuai kwa mgombea mwenza kwenye mkutano wa hadhara Mji mdogo wa
Ngudu. |
 |
Msanii
Snura Majanga akiimba na kucheza baadhi ya nyimbo zake kuwaburudisha
wananchi waliokusanyika katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa
CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan ulofanyika Jimbo la Kwimba
leo mkoani Mwanza. |
 |
Sehemu
ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika
mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais,
Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) leo mkoani Mwanza. |
 |
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo akizungumza
na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa
CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan ulofanyika Kata ya Ngudu
Jimbo la Kwimba leo mkoani Mwanza. |
 |
Mgombea
mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na
baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba katika
mkutano wa hadhara wa kampeni wa ulofanyika leo mkoani Mwanza. |
 |
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni ya CCM Taifa, Anjela Kiziga (kushoto) akijadiliana
jambo na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu
(kulia) katika moja ya mikutano ya hadhara ya mgombea mwenza wa CCM
iliofanyika leo katika Majimbo ya Misungwi, Kwimba, Sumve na Jimbo la
Magu. |
 |
Sehemu
ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya
kusimamishwa barabarani katika Jimbo la Sumve alipokuwa akipita kuelekea
Wilaya ya Magu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Kisesa
Jimbo la Magu. |
 |
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kisesa wakishangilia pembezoni mwa barabara kumpokea mgombea
mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu
Hassan (hayupo pichani) alipowasili kufanya mkutano wa hadhara leo. |
 |
Katibu
wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu akizungumza
na wananchi na wanaCCM wa Kata ya Kisesa katika mkutano wa hadhara wa
kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu
Hassan ulofanyika leo mkoani Mwanza. |
 |
Moja
ya kikundi sanaa (kwaya) kikiwaburudisha wananchi na wanaCCM wa Kata ya
Kisesa katika mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM
nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan. |
 |
Baadhi
ya wanaCCM na makada wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa na mabango yenye
jumbe anuai kwa mgombea mwenza kwenye mkutano wa hadhara Kata ya Kisesa
Jimbo la Magu, Mkoani Mwanza. |
*Imeandaliwa na www.thehabari.com
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni