Ijumaa, 9 Oktoba 2015
RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU MBILI NCHINI MSUMBIJI
RaisFelipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo wakati alipowasili kuanza ziara ya kiserikali ya siku mbili .
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Nyusi Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro.Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt.Mahadhi Juma Maalim.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu kwa Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kiiwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji wakipokea maua kutoka kwa watoto na kasha kupia nao picha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji wakipokea heshima ya Urais wakiwa katika jukwaa maalum(Saluting Dias) na kupigiwa mizinga 21 na kikosi cha jeshi la Msumbiji.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikozi vya Ulinzi vya jeshi la Msumbiji. Picha na Freddy Maro
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni