RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MCHUNGAJI MTIKILA, KARIMJEE DAR ES SALAAM
Rais Kikwete aongoza mamia kuaga mwili wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumatatu Oktoba 7, 2015. Picha na IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni