Jeshi la polisi Jijini Sydney
linawashikilia watu wawili mmoja anaumri wa miaka 15 na mwingine 20,
katika operesheni ya kusaka magaidi nchini Australia.
Polisi wamesema watu hao
wamefunguliwa mashtaka ya kushiriki kupanga njama za kufanya tukio la
mashambulizi ya kigaidi.
Kukamatwa kwao kunahusishwa na
nyaraka za mpango wa kufanya tukio la kigaidi zilizopatikana mwaka
jana wakati wa operesheni maalum iliyopewa jina la Appleby.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni