.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Desemba 2015

MOTO WAWAKA KATIKA HOSPITALI NA KUUWA WATU 25 NA WENGINE 100 KUJERUHIWA

Moto uliowaka usiku kwenye hospitali Kusini mwa Saudi Arabia umeuwa watu 25 na kujeruhi wengine zaidi ya 100.

Maafisa wamesema moto huo umetokea katika chumba cha wagonjwa mahututi na kwenye kitengo cha wazazi katika hospitali ya Jazan.

Moto huo umedhibitiwa na mejeruhi wamehamishiwa kwenye hospitali nyingine ya kwenye eneo hilo, wakati huo huo uchunguzi wa tukio hilo umeanza kubaini chanzo cha moto huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni