Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam
leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni