.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 8 Desemba 2015

RC KILIMANJARO ,AMOSI MAKALA AWASIFU WAANDAAJI WA BONANZA LA MADESHO DAY .

Timu ya Ushrika wakijandaa kuvuta kamba katika bonanza la kumbukumbu ya Mwenyekiti wa kwanza wa klabu ya Moshi veterani Marehemu Madesho Moye.
Timu za Maveterani wa KIA na Kitambi noma ya Arusha wakioneshana kazi katika kuvuta kamba.Wachezaji wa timu ya Moshi eterani wakiongozwa na nahodha wao mpya aliyesajiliwa katika kipindi hiki cha dirisha dogo,Amosi Makala ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakinyoosha kabla ya kuanza mpambano.
 Mashindano ya Mbio za mita 100 pia zilikuwa kivutio hapa ,Salvatory Mtanange akionesha uwezo wa kukimbia mita 100 ambapo alifanikiwa kushinda. Mwamuzi maarufu wa mchezo wa kukimbiza kuku nchini akiingia uwanjani kwa ajili ya mchezo huo.                                                  Kikosi cha timu ya Ushirika Veterani.                                                          Kikosi cha wachezaji wa timu ya Kitambi noma. Amosi Makala akijaribu kutaka kupita walinzi wa timu ya Ushirika Veterani.                                          Amosi Makala akijiandaa kupiga mpira wa adhabu . Baadhi ya Mashabiki wa timu mbalimbali za maveterani zilizoshiriki Bonanza la kumbukumbu ya Mwanzilishi wa klabu ya Moshi Veterani,Marehemu Madesho Moye.
 Mshambiliaji wa klabu ya Ushirika Veterani Tumaini Masue akijaribu kutafuta njia za kutaka kumpita mlinzi wa timu ya Kitambi noma.                            Masue akijaribu kuzuia mara baada ya kushindwa kupita . Bonanza la Kumbukumbu ya Madesho lilienda sanjari na sherehe ya kupokea Kipaimara cha mtoto wake Qareen Madesho ambaye aliongozana na familia yake hadi katika viwanja vya Moshi Club ambako Bonanza hilo lilifanyika. Mke wa Marehemu Madesho,Shufaa Madesho alikuwepo uwanjani hapo kufuatilia Bonanza hilo. Mke wa Marehemu Madesho ,Shufaa Madesho akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Amosi Makala ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Bonanza hilo wakifuatilia mchezo. Zawadi zikatolewa kwa mchezaji Cunbert Ngambira wa timu ya Maveterani wa KIA baada ya kushinda mbio za Mita 100 kwa wenye umri wa miaka 30-40.                                           Baadhi ya ndugu waliofika katika Bonanza hilo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini (0755659929).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni