Waziri wa Mambo ya Ndani nchini
Kenya Joseph Nkaissery amesema kuwa mwanamke ambaye mwili wake
ulikutwa kwenye kaburi huko Mandera alikuwa ni mpishi wa kundi la
kigaidi la Al-Shabaab.
Akiongea na vyombo vya habari
Nkaissery pia amemtaka Seneta wa Mandera, Billow Kerrow kuomba radhi
hadharani kwa kusambaza hofu kwa madai ya kuwepo kwa kaburi
lililozikwa miili ya watu wengi Mandera.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni