.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 8 Januari 2016

AUNT LATIFA MASASI HATOA HUDUMA ZA AFYA KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA DARUl-ARQAM CHLDRENS HOME

Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu ya mtoto Raban Mansur wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Darul-Arqam Childrens Home kilichopo tandika magorofani kwa ajili ya kuwapima afya watoto wanao lelewa katika kituo hicho
Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu kwa mtoto Abdulatif Said kwa ajili ya kujua afya yake kushoto ni Hamis Rajabu 
wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Darul-Arqam Childrens Home kilichopo tandika magorofani kwa ajili ya kuwapima afya watoto wanao lelewa katika kituo hicho
Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo
 Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu kwa mtoto Aman Ramadhani kwa ajili ya vipimo  wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Darul-Arqam Childrens Home kilichopo tandika magorofani kwa ajili ya kuwapima afya watoto wanao lelewa katika kituo hicho

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni