Baraza la Usalama la Umoja wa
Mataifa, limeshutumu shambulio katika ubalozi wa Saudi Arabia Jijini
Tehran lililofanywa na waandamanaji wenye hasiri kufuatia kuuwawa wa
kiongozi wa dhehebu la Shia.
Hata hivyo taarifa hiyo ya baraza
hilo haikugusia mahala popote kitendo cha kutekelezewa adhabu ya kifo
cha Sheikh Nimr al-Nimr na serikali ya Saudi Arabia.
Siku ya jumatatu, Naibu Waziri Mkuu
wa Uturuki, Numan Kurtulmus ameyasihi mataifa ya Iran na Sauri
Arabia, kutuliza mgogoro huo unaoitikisa eneo la Mashariki ya Kati.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni