Polisi nchini Ujerumani ikibidi
watalazimika kuwapiga risasi wahamiaji wanaotaka kuingia nchini humo
kinyume na sheria, chama cha siasa cha mrengo wa kulia kimesema.
Kiongozi wa chama hicho cha AfD
Frauke Petry, amenukuliwa akiliambia gazeti la mkoa wake kuwa hapendi
iwe hivyo, lakini kutumia silaha ndio suluhisho la mwisho.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni