Idadi ya wanawake wajawazito
walioambukizwa virusi vya Zika nchini Colombia imeongezeka maradufu
ndani ya wiki.
Wanawake wajawazito wapatao 2,000
wanavirusi vya ugonjwa Taasisi ya Taifa ya Afya ya Colombia imesema,
ikiwa ni mbali ya watu 20,000 walioathiriwa na virusi vya Zika
Colombia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni