Mke wa Bill Cosby ameagizwa kutoa ushahidi katika kesi ya udhalilishaji dhidi ya wanawake saba wanaomtuhumu mchekeshaji huyo kwa udhalilishaji kingono.
Jaji amekataa jaribio la mke huyo Camille Cosby kukwepa kutoa ushahidi baada ya kudai anakosa uhalali wa kisheria kutokana na sheria za kijeshi.
Wanawake hao wamedai Cosby aliwafanya waonekane kuwa waongo baada ya kuongea hadharani tuhuma hizo dhidi yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni