Jumanne, 5 Januari 2016
KILIMO CHA BAMIA CHASHAMIRI PEMBA
MKULIMA wa mbogamboga kijiji cha Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba, Makame Ali Suleiman akizungumza na mwandishi wa habari wa shirka la Magazeti ya serikali Pemba Habiba Zarali Rukuni katika shamba lake, (Picha na Khatib Mjaja Pemba).
MKULIMA wa mbogamboga kijiji cha kijili Pujini Wilaya ya Chake chake kisiwani Pemba Makame Ali Suleiman akivuna mabamia katika shamba lake, (Picha na Khatib Juma Mjaja, Pemba).
MKULIMA wa mbogamboga kijiji cha Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba, Makame Ali Suleiman akizungumza na mwandishi wa habari wa shirka la Magazeti ya serikali Pemba Habiba Zarali Rukuni na Ali Khatib Chawaya mwandishi wa kujitegemea, katika shamba lake, (Picha na Khatib Mjaja Pemba).
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni