.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Januari 2016

WATU 10 WAMEUAWA NA WENGINE 15 WAMEJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU HUKO UTURUKI

Watalii wameonywa kutembelea sehemu za kitalii mjini Instanbul nchini Uturuki kufuatia watu 10 kuuawa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka katika eneo la katalii la Sultanahmet mapema leo. 

Sultanahmet ni eneo la kale na kubwa la kitalii nchini Uturuki ambalo hutembelewa na maelfu ya watalii kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni kila siku. 

Raia 6 wa Ujerumani, 1 toka Norwey na mwingine 1 kutoka Korea Kusini ni kati ya waliojeruhiwa katika mlipuko huo. 

Mpaka sasa mshukiwa wa tukio hilo anadhaniwa ni kutoka Syria.
Usinipige picha bwana mimi naimarisha ulinzi!! Askari akiimarisha usalama eneo la tukio.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni