Moto uliotokea katika basi la
usafiri wa umma katika mkoa wa Ningxia nchini China umeuwa watu 17 na
kuwajeruhi wengine 32.
Mamlaka katika mji wa Yinchuan
zimesema basi hilo liliwaka moto ghafla majira ya saa moja, na
kufanya abiria waliokuwemo kukwama ndani.
Mamlaka za mji huo zimedai kuwa mtu
mmoja aitwae Ma Yongping, 33, alilichoma moto basi hilo kwa mujibu
wa picha za video za CCTV.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni