Mkurugezi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akimkaribisha Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa alipofanya ziara ya kuangalia maendekleoa ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mattaka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), wakati alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalotarajiwa kuanza kutumiaka rasmi ifikapo Februari 2016. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau.
Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akizungumza wakati alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo linalotarajiwa kuanza kutumiaka rasmi ifikapo Februari 2016. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau.
Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mattaka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kulia)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Hamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (katikati), wakati waziri huyo alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF, Aboubakari Rajabu.
Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (katikati), akifafanua jambo wakati alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk.
Ramadhani Dau na kulia ni Ofisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uhusiano na
Masoko wa NSSF, Salim Kimaro.
Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mattaka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kulia )
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Hamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (katikati), wakati waziri huyo alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF, Aboubakari Rajabu.
Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mattaka
(katikati) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau.
Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akiagana na Ofisa Uwekezaji Mwandamizi, Zaina Kambagha.
Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akiagana na Meneja wa Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim mattaka.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni