Bondia Frank Bruno anakabiliwa na
kikwazo cha kutopatiwa leseni ya kurejea ulingoni nchini Uingereza
baada ya kutangaza nia ya kurejea tena kuzidunda.
Miaka 20 imepita tangu Bruno
ajiuzulu kupigana ndodi baada ya kudundwa na Mike Tyson, lakini akiwa
na miaka 54 ametangaza kurejea ulingoni tena.
Kwa muda mrefu Frank Bruno amekuwa
akisumbuliwa na matatizo ya akili na ametumia muda mwingi akiwa
hospitali.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni