.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 4 Februari 2016

KOMREDI KINANA ATINGA SINGIDA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone alipowasili mjini Singida LEO JIONI, kwa ajili ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika mkoani Singida Februari 6, mwaka huu.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na wananchini. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
                                                                       Komredi Kinana akisalimiana na Kone.
Komredi Kinana akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi baada ya kuwasili Singida leo.
                 Nape Nnauye akisalimiana na wananchi alipowasili mjini Singida leo
               Komredi Kinana akiwa na baadhi ya wananchi wa Singida waliomlaki
Komredi Kinana na Nape wakiwa na wafuasi wa CCM pamoja na wananchi baada ya kuwasili mjini Singida.
                                                      Komredi Kinana akiwa na Kone (kulia) na Amanzi
                            Wananchi wakiimba wimbo wakati wa kumlaki Komredi Kinana
             Komredi Kinana akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Kone

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni