Wanaume
wawili wa Afrika Kusini wametiwa hatiani kwa kumuua raia wa Msumbiji
Manuel Josias Sithole wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha jela cha
miaka 10 hadi 17.
Maujia
hayo yaliyokea Aprili mwaka jana wakati wa machafuko ya kibaguzi
lakini polisi wamesema mauaji yake yalikuwa na msukumo wa kuiba.
Kesi
hiyo iliwavutia watu wengi baada ya tukio la mauaji ya raia huyo wa
Msumbiji kunaswa na mwandishi mpiga picha James Oatway.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni